Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante kwa kunipa nafasi hii nami nijimwaye mwaye...

4 sure jiko la ellyrehema ni zuri kuanzia muonekano mpaka matumizi, huchafui mazingira hata ukipikia kitandani unapika tu bila shida yoyote, linabebeka, hata kama hupendi kula vyakula vya kupikiwa una uwezo wa kubebelea kila uendapo na kuweka kambi popote.
Kwa wale mabachela pia litawafaa sana, kazi kwenu inakuwa ni kununua nyama choma tu kiugali unakizungusha mwenyewe..

Kwa matumizi ya umeme ndo usiseme, bwelele kabisa....
Kwa upande wa kukoki moto ni sawa tu na mgawanyiko wa vyumba ulivyo (baba na mama, watoto, wageni), kande kivyake, wali kivyake, chapati kivyake.......

*Sema kwa wale wapenzi wa UKOKO wa wali mtabuma*
Wali bila UKOKO tena,,, kwan ndizi hzo
 
Hahahhaa
Nlikuwa nafatilia kwa makini sana na yule jamaa,,, sema hapo kwenye ukoko,, ndo umeharbu biashara ya mtu
Raha ya wali ukoko
IMG_20180720_232124.jpg
 
Back
Top Bottom