ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,023
Yapo original pia bei milioni moja na laki mbili, yana plate 2
Umewahi chunguza latumia volts ngapi kwa dakika 1?Hili ni la plastick mwanzo mwisho, ya kwangu ni ya chuma, ila juu ndo kuna ceramic plate so ni bora zaidi na yanadumu
Hahahahaha! La mchina ni lipi kati ya hili na hilo la kwake?Usinunue la Mchina. Mengine yote mazuri [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Buttons zinakufa baada ya muda gani?Pia hili lina buttons ambazo baada ya mda hufa, la kwangu ni touchscreen
Mkuu, kwenye marketing uko vizuri [emoji122][emoji122][emoji122]Pia hili lina buttons ambazo baada ya mda hufa, la kwangu ni touchscreen
Hahahahhaha!Mkuu, kwenye marketing uko vizuri [emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji3] [emoji3] , habari yako*OLEWA NA MWANAUME ALIYEKUZIDI UMRI, ILI KIPINDI UKIANZA KUPOTEZA UZURI WAKO, NA YEYE ATAKUWA AMESHAANZA KUPOTEZA UWEZO WA KUONA*.[emoji4][emoji4][emoji4]
Mimi hata najua basi? Mi najiandikia tu ili nipate likes [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Hahahahaha! La mchina ni lipi kati ya hili na hilo la kwake?
Sijui inatokana na mtumiaji mkuu, kama langu ni la button nlinunua 2014 bado hazijafa hadi leoButtons zinakufa baada ya muda gani?
Nimekupata mkuu... Asante.Sijui inatokana na mtumiaji mkuu, kama langu ni la button nlinunua 2014 bado hazijafa hadi leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], basi kula like....Mie ninalo hilo analodai ni plastic, nimedunda nalo huu mwaka wa 3 sasa....Halijawahi pata homa yoyote.Mimi hata najua basi? Mi najiandikia tu ili nipate likes [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Njema kabisa mkuu[emoji3] [emoji3] , habari yako
Hata mm nimenunua 2014 bado lipo tu, naomba uwambie matumizi ya umeme[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], basi kula like....Mie ninalo hilo analodai ni plastic, nimedunda nalo huu mwaka wa 3 sasa....Halijawahi pata homa yoyote.
Na linapika hadi mawe.
Upo hadi kwenye FOREX?