Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vitabu vya Forex hivi hapa wakuu kwa anayetaka kujifunza. Elimu ya akina Ontario haitoshi na inabidi kusoma sana bila kuchoka. Pdf...[emoji116][emoji116][emoji116]

446618282_206795.jpg
 
Kupika kwa umeme haijawahi kuwa rahisi, ila tekinolijia mpya ya induction
*sifa za majiko*
[emoji871] yanatumia umeme kidogo sana inawezekana.
[emoji871] Majiko haya yanaitwa induction electric coocker,
[emoji871] yanatumia umeme kidogo kwa asilimia 80% ukilinganisha na majiko ya kawaida. Yaan kama utatumia umeme wa Tsh. 10000/= kwa jiko la kawaida, kwa jiko la induction utatumia umeme wa 2000/= hivyo kufanya liwe na gaharama nafuu kuliko hata gass.
[emoji871] Jiko hili unachomeka popote hata kwenye extension ndogo tu na waya hautachemka, tofauti kabisa na jiko la kawaida ambapo ni lazima pawepo socket ya coocker ilounganisha moja kwa moja kutoka mainswitch.
[emoji871]Jiko hili ni touch screen hivyo kufanya matumizi yake kuwa marahisi sana,
[emoji871]ni jepesi kubeba hivyo unaweza kusafiri nalo popote kwenye bag la kawaida.
[emoji871]Kuna yanayotoa joto kwenye plate(hayachagui sufuria) , na yasiyotoa joto (yanachagua sufuria)
[emoji871]moto wake ni mkali kuliko wa gess, na jiko la umeme la kawaida, hivyo hufanya upikaji kuwa wa haraka sana hivyo husaidia kupunguza matumizi ya umeme ya muda mrefu.
[emoji871]Kama unahitaji hili jiko linapatikana kwa gharama ya ths.150,000/=tu. Tunapatikana musoma mjini, tupigie simu 0782183441. Kwa walio mikoani tutatuma jiko kwa garama za mteja, baada ya kufanya downpayment.View attachment 814555View attachment 814556View attachment 814557
Mkuu, vipi kuhusu ubora baina ya brandy moja na nyingine???
20180721_115637.jpg
 
Back
Top Bottom