Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sawa. Kama unataka kuifanya vizuri inataka ujisomee sana na uwe up-to-date mno. Siyo rahisi kama yule kijana mjanja alivyowaaminisha watu humu. Ukiwa na nia inawezekana. Our own Mzee wa Ini mbona anakula bata tu kwa midola ya Forex?Kuna mtu ndio kaanza kufanya hiyo FOREX anasomaga na mavitabu.....nikiona inamuendea vizuri ndio nitajifunza na mimi....kwasasa ngojea niangalie upepo unaendaje kwanza
Kiboko ya malofa na wapumbavu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23]Hawa nao. Utafikiri Wasukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 814726
Huyu mwanamke anayeelezwa katika Mithali ni kiwakilishi cha dhana ya mwanamke mwema anavyopaswa kuwa na siyo mwanamke mmoja. Utakuwa mwenye bahati sana kwa sasa ukipata mwanamke mwenye sifa angalau tatu zilizotajwa na Mfalme Suleiman...11 Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
12 Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
15 Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
Kumbe mzee wa liver naye yupo ntamtafuta nipate experience kutoka kwakeSawa. Kama unataka kuifanya vizuri inataka ujisomee sana na uwe up-to-date mno. Siyo rahisi kama yule kijana mjanja alivyowaaminisha watu humu. Ukiwa na nia inawezekana. Our own mzee wa liver mbona wanakula bata tu kwa midola ya Forex?
Mwanamke wa mithali, uncommon woman, uncommon wife.Huyu mwanamke anayeelezwa katika Mithali ni kiwakilishi cha dhana ya mwanamke mwema anavyopaswa kuwa na siyo mwanamke mmoja. Utakuwa mwenye bahati sana kwa sasa ukipata mwanamke mwenye sifa angalau tatu zilizotajwa na Mfalme Suleiman...
[emoji818][emoji818][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
View attachment 814550
13-18Methali 31:10-31
10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11 Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
12 Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
13 Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14 Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
16 Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17 Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
18 Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
19 Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia.
20 Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21 Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22 Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23 Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24 Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.
25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
26 Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.
28 Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,
29 Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
30 Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
31 Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni.
TrueWeekend itawaliwe na upendo