Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

13-18
Hivi ndivyo vipaji vya mwanamke!
Society imemdanganya mwanamke kwamba yeye akae nyumbani bila kujishuhulishs!
Big NO walahi!
Mwanamke na asiwe tegemezi wa kila kitu kwa mumewe..Ajishughulishe huku na kule kupata chochote kitu.
Wanaume wanaotaka mwanamke wa kukaa akinyoosha mikono tu ni wivu tu usio maana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…