Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532166840844.jpg
 
Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, mke wake akaanza kuonekana tofauti kama vile anajiskia vibaya. Akaenda chumbani. Baada ya muda mfupi yule mkaka akamfuata. Wakakaa sana huko kisha mkaka akarudi sebuleni kuendelea kuongea na mama yake. Lakini zipu ya suruali yake ilikuwa wazi. Mama akamuuliza, mkeo anaendeleaje? Akamuambia, anajisikia vzr sasa. Nimempa panadol. Mama akatabasamu na kumwambia mwanaye, sawa. Lakini siku nyingine ukishatoa panadol ukumbuke kufunga pharmacy[emoji23][emoji23]
Kwe kwe kwe[emoji3] [emoji3] [emoji3] huyo mama naye ni shidaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ukigombana na mkeo akaenda kwao, using'ang'ane kutuma watu huko. Tunajua majirani wana fitina sana, so what you do, nenda dukani nunua chupi tano kubwa kubwa rangi tofauti. Zifue alafu anika mapema kwenye kamba ya mlango wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], navyo wajua wabongo watampigia mkeo simu wakimuambia sasa ameleta mwingine mwenye chura kukushinda wewe.
Kesho yake asubuhi utaona wife huyoo mlangoni na jogoo kubwa limefungwa miguuuuni akuchinjie mle muongee farajah
Maisha ni kusaidiana bana!!!
[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji1438][emoji1438][emoji1438][emoji1438][emoji1438]
 
Back
Top Bottom