myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Umuhimu wako unaonekana.
Likes zinaendelea kutolewaKuna mdada ameangusha kipochi leo, nikamwambia *Excuse me madam*'' kabla hajajua namuambia nini, akasema, "I have a boyfriend.." Sasa hivi niko sehemu napata nyama choma..
sipendagi maringo mie.
Halafu Inaonekana kabisa hata injini hazijatokota [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji38][emoji23], utafikiri wanaipisha radi ipite.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jamaniiiiii View attachment 815039
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Unamaanisha hawa??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 815054
Atakua alishinda M-PESA zawadi