Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata wakirudi jamaa keshajichokea anahitaji wa kumlea sio yeye aleee,hao wawili wanapenda kujibebisha kupelekewa kila kitu jambo ambalo kijana hawez timiza kwa asilimia 100
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wote wamechoka sasa hivi hawana jipya.
Nasikia tununu alipost sijui picha ama video kaitwa na tcra
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njooo nasubiri ila ujue woga huisha mwanga wa jua unapoanza kuchomoza[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Halafu ugumu uliishia wapi??

We nae! Tunapokuwa tunaongea mambo ya kheri kama haya usiwe unataja mambo ya ugumu bana! Saa hizi si saa tano usiku, nitafika hapo kabla hakujapambazuka! [emoji124][emoji124][emoji928][emoji928]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwakweli ashukuriwe pyaar kwa kuteketeza chachawa.
Hao uliowataja sijawazoom kitambo
Hata mie mwenyewe nimeachwa kwenye mataa ya darajani sijui waepotelea wapi daaah i miss those days daaaaadddddddiiiiiii baridi,bintiiii iwish i cud be ua blanket rait nau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We nae! Tunapokuwa tunaongea mambo ya kheri kama haya usiwe unataja mambo ya ugumu bana! Saa hizi si saa tano usiku, nitafika hapo kabla hakujapambazuka! [emoji124][emoji124][emoji928][emoji928]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijui anataka akunyime nini[emoji38][emoji38][emoji38]Ugumu my foot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…