Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Honestly nyuzi nyingi za kuwapondea wadada wa humu huwa zina ukweli mkubwa sana sema tu ndo vile hatupend kuambiwa ukweli.(SOMO KUBWA PM kuna ubuyu mtamu na mchungu ni muhusika kuamua kula chungu au mtamu na maisha yanaendelea) Wachache sana wanaojielewa na wanajiweka smart ila wengine duh kuku wa kienyeji hata jogoo wa mtaa wa saba anapanda atakavyo.
Ngoja nijilie likes zangu hapa maana pugi halisi(tununu)kakalishwa huko hana hata kiki ya kutokeahadi team wema wamemgeuka,mjini raha.
Maugomvi ya humu ni kuyapitia mbali kabisa...


Hao wote(tununu na wema)wanataka kurudi kwenye himaya ya domo sasa unafikiri watapeana support??
Waliungana kumtoa zari sasa kila mtu anapambana arudi
 
Ni kupitia kujifunza mambo mengi ya msingi, kupata uzoefu wa kazi, mazingira na mahusiano tofauti tofauti. Kisha kupitia uzoefu na uelewa mkubwa tulioupata utaweza kuchambua mambo na kufananisha au kutofautisha ili kujua kipi ndio kipi, na yapi ni ya msingi yapi si ya msingi.
 
Embu acha woga, nakuja kukuchukua saa hii turudi zetu home! Nitakupa kampani mpaka woga utakapo kuishia! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njooo nasubiri ila ujue woga huisha mwanga wa jua unapoanza kuchomoza[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Halafu ugumu uliishia wapi??
 
Maugomvi ya humu ni kuyapitia mbali kabisa...


Hao wote(tununu na wema)wanataka kurudi kwenye himaya ya domo sasa unafikiri watapeana support??
Waliungana kumtoa zari sasa kila mtu anapambana arudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata wakirudi jamaa keshajichokea anahitaji wa kumlea sio yeye aleee,hao wawili wanapenda kujibebisha kupelekewa kila kitu jambo ambalo kijana hawez timiza kwa asilimia 100
 
Hiiiiiiii in iceman voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Steve Jobs aliwahi kugusia hili aliposema wale tunaowaona ni wabunifu na wana uwezo mkubwa wa kiakili ukweli ni kwamba hata wao wenyewe wanaona aibu kusema wana uwezo mkubwa kama wanavyofikiriwa kwani kinachotokea ni kuwa wao hawana kipya wanachokiona zaidi ya yale ambayo tayari yapo, ila wao kupitia uzoefu, ufahamu na tafakari ya mambo mengi wanaweza kuona kile ambacho wengi hatuoni.
 
Hiiiiiiii in iceman voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umeanza maugomvi yako! [emoji23][emoji23]
 
Na ndio maana hata Albert Einstein tunayeweza kumuita "Jinias", aliwahi sema : “I have no special talents. I am only passionately curious.”
― Yaani sio kwamba anakipaji fulani haswa maalum bali ni kwa sababu ni mdadisi-yaani anapenda kujua vingi, yaani ubongo wake UMEFUNGUKA.
 
--Na mgunduzi wa gropu ya umeme na Kamera aitwaye Thomas Edison aliwahi sema:
"Genius is one percent inspiration and ninety-nine percent perspiration".
Yaani : Kuwa na akili za kipekee kunatokana na 99% ya bidii ya kujituma, na 1% iliyobaki ni kuwa na msukumo.
---Fan wa MBUKE TIMES usitegemee kuona urahisi wa kutatua changamoto zako bila kuwa na ufahamu wa kutosha. Je ni mambo gani unajifunza kila siku? Je yanasaidia kuboresha uwezo wako wa kufikiri, kuamua na kuwa mbunifu?
Jitume leo hii na siku zote, sio lazima uwe kama hao "majiniasi" ila busara, ujuzi na hekima utakayopata kwa kuwa na ufahamu mkubwa itakusaidia wewe na kizazi chako.
 
Pia wanaume mkue mkishake hiyo mjulubeng after kukojoa,si ati time tunasuck tususu tunatoka kwanza tudroplets tutatu kaa dawa ya polio[emoji57][emoji57][emoji57][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*

Says a lady here in a forward travellers matatu
 
Back
Top Bottom