Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2018-04-29%2014.43.38%201768169222770351965_1961735763.jpg
 
Kule kuna harufu ya moshi tangu uzi unaanza na hii vita haijaanza leo ni ya mda kidogo.
Mwisho wake huwa mbaya,kuna jamaa wadada wa humu walizoea kumbully sana,kila mwanamke wanasingizia alitembea nae mwisho wa siku akaanza waaibisha ndo hii sasa inatokea kutaka kumkimbiza P JF kwa kisa kidogo tu si fresh kabisa
 
Wah wah wah
Wasafiri wengine inabidi tu kuwalinda hasa ukiona hiyo lugha inaharibu akili[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vizuri wasafiri wa chombo kimoja tuwe na lugha moja.. Kama ni uji iwe uji kama ni mtokoto wa injini iwe mtokoto wa injini.
Capital, asikutishe huyu.....huaribiki akili wala nini, utaona...Nitakupa mwongozo[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
 
Mwisho wake huwa mbaya,kuna jamaa wadada wa humu walizoea kumbully sana,kila mwanamke wanasingizia alitembea nae mwisho wa siku akaanza waaibisha ndo hii sasa inatokea kutaka kumkimbiza P JF kwa kisa kidogo tu si fresh kabisa
Haya maugomvi ya watu humu ni kusoma na kupita tu maana maugomvi mengi huanzia pm huko,kukichafuka ndo utaona nyuzi za masimango na malalamiko.
Jamaa kuna kipindi alikuwa analeta nyuzi za kuwakandamiza wadada humu na maneno mengi tu ya kifedhuli yeye mwenyewe hana lugha nzuri.
MWISHO WA YOTE WATU WAKIGOMBANA SHIKA JEMBE KALIME MAANA KESHO NA KESHO KUTWA WANAWEZA PATANA.
 
Mwisho wake huwa mbaya,kuna jamaa wadada wa humu walizoea kumbully sana,kila mwanamke wanasingizia alitembea nae mwisho wa siku akaanza waaibisha ndo hii sasa inatokea kutaka kumkimbiza P JF kwa kisa kidogo tu si fresh kabisa
Nimeenda huko sijaelewa halafu uzi uko page ya 200 huko. Umenishinda. Mi nitabakia tu hapa nikichoka naenda zangu kulala...
 
Back
Top Bottom