Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]kaona aanze kulegeza nati mapema.Jamaa aliona anachelewa ama??
Hahahahaha! Kumbe huwa unagawa likes tu...Unapitwa na madini wewe![]()
![]()
![]()
Isee .. kumbe ni vizuri kupitia chats zenu wakati mwingine, leo nmegundua vitu sikujua.
You really made my day,
[emoji23][emoji23][emoji23]Kaona anachelewa[emoji23][emoji23]
[emoji124][emoji124][emoji124]Hahahah sikuwa nimeona hizi. Siamini hata wewe
Hahahahaha! Kumbe huwa unagawa likes tu...Unapitwa na madini wewe
Ila wanaume huwa wananishangaza sana,wanataka mwenye eksipiriensi ya udereva lakini asiwe kabadili magari sana,huwa nachoka
Hata sijui nachangia nini[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ngoja niende kwa mapugii
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]poleeYes, Ila nivile napata uvivu ku-review page and page searching for a story from the bottom. Eg Siku zimepita nikiskia neno uji hapa, nilikuwa nikishangaa mtu anakunywaje uji at this late HRS? Sasa leo nmejua what UJI you guys always talking abt!