Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

゛Nlitaka mwanangu achezee timu ya taifa ya Cameroon lakini shirikisho la mpira la Cameroon liliniomba kiasi Cha pesa ambacho sikuwa nacho lakini Ufaransa hawakudai chochote!゛

Wilfred Mbappe(baba wa K. Mbappe)

Na hii vitu vinatokea mbele ya macho yenu katika nchi hii. Ni wachezaji wangapi walioombwa kujiunga kwa pesa ili kuwakilisha nchi zaidi na zaidi ikiwa Ni upande wa vijana?

Kama unajivunia ufaransa Kama (mtu mweusi) vilevile alafu unasapoti nguzo za rushwa katika nchi hii Basi una tatizo kubwa ,,ambalo timu ya kishujaa ya ufaransa ndio zao la utawala uliofeli katika Afrika.

Ni muito unatukumbusha mahitaji ya haraka kwa ajili ya Afrika kuweka mbele maendeleo ya watu wake na vipaji vyao
 
Unahitaji Mtu Atakaye Kupenda Kwa Jinsi Ulivyo.
Huna kipato kikubwa, huna Nyumba,Huna Gari, Kuwa Mkweli, Wala Sio Tatizo........[emoji444][emoji446][emoji445][emoji443][emoji442][emoji441][emoji445]

Tatizo Ni Pale Utakapotaka Kuigiza, Au Kuyaishi Maisha Ambayo Si Yako Ili Tu Upendwe Na Yule Umpendae.

Yule Mzee ......Anasema

#Utapata_Tabu_Sana
 
PANYA alikuwa na msongo wa mawazo kwa sababu aliogopa sana paka. Akatokea mchawi mmoja mkubwa sana; kwa haruma, akamgeuza kuwa paka. Akiwa paka, akaanza kuogopa mbwa, hivyo, yule mchawi akamgeuza kuwa mbwa. Akiwa mbwa akawa anaogopa sana chui. Yule mchawi, kwa huruma zaidi, akamgeuza tena na kuwa chui. Haikuchukua muda, akaanza kuogopa wawindaji. Mwishowe, yule mchawi alichoka, akaamua kumrudisha kuwa paka na kumwambia: "Hakuna ninachowezafanya kikakusaidia, kwa sababu umeshindwa kutambua ukuaji wako. Aheri tu urudi ulivyokuwa mwanzo!"

Usipotambua ukuaji wako na kuzitumia nguvu (fursa) zako, basi siku moja, hofu unazoziendekeza zitakurudisha nyuma.
 
Aliyekutoa mwiba wa makalio mthamini kwasababu ndio aliyekupa jeuri ya kukaa kitako na kutoa mwiba wa mguuni....Namaanisha mthamini yule anayekufanya uthaminike na uheshimike...
 
Vinyozi wote, wakongwe na wapya, walijifunzia katika vichwa vya watu. Lakini cha ajabu, hakuna mtu anayetaka kichwa chake kufanywa cha majaribio. Hivyo, ni juu ya kinyozi, kuhakikisha mteja hajui kama unajifunzia kwake.

Inawezekana nisiwe na maana ya kinyozi huyo umjuae wewe. Tafakari zaidi.
 
Msifie msichana kuwa ni mzuri, atasahau ndani ya nusu SAA tu. Lakini mwambie ni mbaya, atakumbuka kila ajitazamapo kwenye kioo.
 
゛Nlitaka mwanangu achezee timu ya taifa ya Cameroon lakini shirikisho la mpira la Cameroon liliniomba kiasi Cha pesa ambacho sikuwa nacho lakini Ufaransa hawakudai chochote!゛

Wilfred Mbappe(baba wa K. Mbappe)

Na hii vitu vinatokea mbele ya macho yenu katika nchi hii. Ni wachezaji wangapi walioombwa kujiunga kwa pesa ili kuwakilisha nchi zaidi na zaidi ikiwa Ni upande wa vijana?

Kama unajivunia ufaransa Kama (mtu mweusi) vilevile alafu unasapoti nguzo za rushwa katika nchi hii Basi una tatizo kubwa ,,ambalo timu ya kishujaa ya ufaransa ndio zao la utawala uliofeli katika Afrika.

Ni muito unatukumbusha mahitaji ya haraka kwa ajili ya Afrika kuweka mbele maendeleo ya watu wake na vipaji vyao
 
Pichani ni raisi wa Rwanda Paul Kagame na Janette Kagame wakati walipofunga ndoa yao huko Kampala Uganda.

Kagame walifunga ndoa na Janette Kagame mwaka 1989 Wakati huo Kagame akiwa ni askali katika jeshi la Uganda (UPDF) na mkurugenzi wa shilika la kijasusi la Uganda.
 
Ruth Kamande: Kwa nini Amnesty International wanataka malkia wa urembo gerezani Kenya aondolewe hukumu ya kifo
 
Shirika la Amnesty International limetoa wito wa kubatilishwa kwa hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya malkia wa urembo gerezani nchini Kenya Ruth Kamande.
 
Mwanamke huyo alihukumiwa kifo Alhamisi baada ya kupatikana na kosa la kumuua mpenzi wake miaka mitatu iliyopita katika mtaa wa Buruburu, Nairobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…