Aisee ukwaju umenisaidia sana kwenye hali yangu hii, kuna time mambo yalikuwa si shwariVifundo
hivi ndiyo ambavyo watu
wanakula ili kupata virutubisho na
faida za kiafya za ukwaju. Ukwaju
una ladha faluni ya uchachu
ukiwa bado mchanga, lakini kadiri
unavyozidi kukomaa unakuwa na
ladha tamu. Ingawa ukwaju
unakuwa na utamu kadiri
unavyokuwa na kukomaa,
kiujumla ukwaju ni mchachu.
Aisee ukwaju umenisaidia sana kwenye hali yangu hii, kuna time mambo yalikuwa si shwari