mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mwaka 2016, serikali ya Marekani iliipatia Tanzania mbwa wanne waliofunzwa kutambua mihadarati, pembe za ndovu katika bandari kuu ya taifa hilo pamoja na uwanja wa ndege.
[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwema kabisa.Humu ndani vimbaumbau vinaonewa sana,utasikia vinaitwa mifupa tupu sijui havina mvuto,nimejitolea kuwa mwenyekiti wao niwatetee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema maa,habari ya jumapili?
Mwaka 2016, serikali ya Marekani iliipatia Tanzania mbwa wanne waliofunzwa kutambua mihadarati, pembe za ndovu katika bandari kuu ya taifa hilo pamoja na uwanja wa ndege.
Naona unaanzisha chama cha vimbaumbauHumu ndani vimbaumbau vinaonewa sana,utasikia vinaitwa mifupa tupu sijui havina mvuto,nimejitolea kuwa mwenyekiti wao niwatetee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema maa,habari ya jumapili?
Heeee....anaetetea anatakiwa awe mmoja wao!!!Humu ndani vimbaumbau vinaonewa sana,utasikia vinaitwa mifupa tupu sijui havina mvuto,nimejitolea kuwa mwenyekiti wao niwatetee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema maa,habari ya jumapili?
Kwakweli na jumatatu inakaribia hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwema kabisa.
J'pili yaelekea ukingoni.
Bora hata umejileta, mie mwenyewe nakutafuta balaa.Sio vizuri ujue??
Nakutafuta sana
Chama cha kutetea vimbaumbau[emoji123][emoji123][emoji123][emoji2][emoji2][emoji2]Naona unaanzisha chama cha vimbaumbau
Poa za kwako?Bora hata umejileta, mie mwenyewe nakutafuta balaa.
Habari za siku nyingi lkn.