Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro, mbona kukatishana stimu namna hii? Sipendi hii sehemu basi tu. Kama ukristu unaruhusu mi nadhani nitaopt kutiwa kiberiti tu. Sitaki kabisa kuoza na kuliwa na mafunza aisee [emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23][emoji23] uko real bro??
Wote njia ni moja bro,, hautakiwi kuogopa aisee,, cha muhimu ni kujipanga na matendo mema tu ili huko tuendako yawe yapunguze adhabu za huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…