Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wamepaka tomato hata nguo hazijachafuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo movie mwenye bastola anakimbizwa na mwenye jiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee, hii hatari tupu, jamaa hapo kachafuka damu still bado anatabasamu ,,,cha ajabu bado wanajiuliza wapi wanakosea kwenye movie zao
 
Utakuwa na kazi ya kumpigia simu, na kutaka kujua habari zake, ingawa hutaona akikukumbuka wala kukupigia simu, na endapo atafanya hivyo basi atakupigia akiwa na shida muhimu kutoka kwako.

Ukianza kuegemea kwenye penzi la utumwa huwezi kujielewa unateseka, watu ndio wataanza kukuonea huruma bila wewe kujali.

Watu wa karibu yako wataona mwili wako unakwisha na kubaki mifupa mitupu.
 
Utajijua ulipotea baada ya kushauriwa uachane naye anayekutesa na utakapopata mwingine anayekupenda na wewe kumpenda, yaani mkapendana sana ndipo utaona kweli ulikuwa ulimwengu wa giza na mateso.
 
SIO SEHEMU SAHIHI KWAKO

Mtu anapokupenda, kwanza atakujali kwa kila kitu, atakuonea huruma na kupenda kuona ukiwa na furaha siku zote za maisha yako. Ni mtu mnyenyekevu kwako, anayetaka kukupenda kila sekunde ya pumzi zako.

Hivyo hata kama hana kitu, nawe unashida na jambo atahangaika na kukukikisha anakutuliza roho yako, na sio kukuumiza.

Lakini madhara ya kumpenda mtu asiyekupenda hawezi kuwa sehemu ya mwili wako, yaani ukiumia atafurahia na kukuona mjinga.
 
9765fbc9ee618a4aafcf267ea207832c.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah carba
Bongomovie wale hawana pa kufananishwa aisee,jini anavuka barabara anatizama kushoto na kulia au kama hv

View attachment 816050
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jambazi anavua viatu kuingia ndani.
Na kuumia kote huko wameweka pozi kabisa la kutunishiana...Hawaoneshi kama wana maumivu.
 
Back
Top Bottom