Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532166022552.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jambazi anavua viatu kuingia ndani.
Na kuumia kote huko wameweka pozi kabisa la kutunishiana...Hawaoneshi kama wana maumivu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa wana masihara sana,, jamaa kalegeza na jicho kabsa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kujfunza jirani tu hapo Kenya wameshindwa kabsa,,wenzao wako real sana kwenye kuact
 
Back
Top Bottom