Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa wana masihara sana,, jamaa kalegeza na jicho kabsa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kujfunza jirani tu hapo Kenya wameshindwa kabsa,,wenzao wako real sana kwenye kuact
Wasanii wetu huwa wanawaza pesa tu, kufikiria ubora wa kazi wanaona ni mambo ya kucheleweshana[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndiyo maana hata soko lao la ndani tu linalega lega
 
Kabsa mkuu!! Ukizama Deep sana hz dini unaweza potezea kabsa,,, ndio maana kwangu mm naona dini ni imani yako aisee

tapatalk_1531461929199.jpeg
 
Back
Top Bottom