Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446535373_209636.jpg
 
HII NI MPYAA KWAKO TANGU UZALIWE
UMEWAHI ONA HII

[emoji179]chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua.

[emoji179]kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha

[emoji179]chukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu utawasikia kwa jirani

[emoji179]kutoa harufu kwenye wali uliongua weka kipande cha mkaa harufu ya kuungua itakata

[emoji179]km umepika mchuzi upo maji maji yaani mwepesi labda maji yamezidi chukua kiazi kikune na cha kukunia nyanya weka chuzi litakuwa rost

[emoji179]kuivisha maharage faster chukua maji yalochemka tia maharage weka kwenye chupa ya chai funga kesho mimina kwenye sufuria pika nusu saa harage litakuwa lishaiva

[emoji179]ukipika mchuzi vitunguu vikiungua weka sukari kidogo harufu ya kuungua haitasikika

[emoji179]Ukiamaliza kuosha vyombo still wire iweke kweny maji haiharibiki utaendelea kutumia kesho

[emoji179]big g ikiganda kwenye nguo weka kweny friza ikiganda itatoka kirahisi
1
[emoji179]kuondoa harufu ya uvundo kwenye fridge weka baking soda kwenye kikombe na maji kidogo weka kwenye fridge

Ukiipenda mpe mwenzio
 
Hii maana yake nini?Jumla ya kata 22 kati ya 77 ambazo utafanyika uchaguzi wa marudio tayari chama tawala CCM kimepita bila kupingwa baada ya wagombea wa vyama vya upinzani kuwekewa pingamizi ikiwemo madai ya kudaiwa kukosea kujaza fomu.

Tangu mwaka 1994(ulifanyika uchaguzi mdogo),Tanzania ilipofanya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi haijawahi tokea poromoko kubwa kama hili la wagombea kufyekwa hivi.

Kama katika ngazi ya udiwani hali ipo hivi,naona dalili za Mwakani kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na vijiji wagombea wengi kujikuta wanakosa haki ya kugombea kwa sababu kama
hizi zilizoelezwa kwenye hili linaloendelea la uchaguzi mdogo.

Jambo linalofikirisha zaidi,kwa nini wanaodaiwa kutojua utaratibu wa kujaza fomu wanatoka upinzani?vyama vya upinzani nchini Tanzania havina mfumo wa kuwaelimisha wagombea wao namna ya kujaza fomu bila kukosea?

Kwa hali hii,mwakani kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa na vijiji,kuna uwezekano wakafyekwa wengi na tukashuhudia labda asilimia 50 ya vijiji na mitaa watu wakapiga kura za ndiyo na hapana.

Nadhani kuna haja,Tume ya uchaguzi,kituo cha demokrasia Tanzania,vyombo vya habari ,vyama vya siasa vyenyewe,asasi za kiraia zinazojikita kwenye kutoa elimu ya Uraia kulichukua hili kwa uzito wake kwa ustawi wa siasa za Tanzania.
 
Kikosi cha Simba SC kimewasili salama jijini Istanbul, Uturuki na kufanya mazoezi jioni ya leo.

Zimebaki siku 17 [HASHTAG]#SimbaDay2018[/HASHTAG] [HASHTAG]#KibingwaZaidi[/HASHTAG]
 
[HASHTAG]#HABARI[/HASHTAG]: Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro amtafute mmiliki wa kampuni ya Lugumi popote pale alipo na kumfikisha ofisini kwake Julai 31 saa mbili asubuhi ili ajue hatma yake.
 
Back
Top Bottom