Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jana saa nane mchana, tukio la ajabu imetokea shule ya msingi Emaco mjini Geita. Mwanafunzi mmoja pichani (Traki nyeusi) amewawekea wenzake sumu kwenye chakula. Mtoto wa darasa la nne (Traki bluu) alishuhudia tukio na kutoa taarifa kwa mwalimu. Baada ya mahojiano mafupi na huyo dogo aliyeweka sumu akasema kuwa kapewa na dada mmoja ili awaue wanafunzi wenzake wanaomsumbua shuleni. Mungu amenusuru kwa kuwa chakula kilikuwa hakijafika kwa walengwa, mtoto amefukuzwa shule na hatua zingine zinafuata.
Dah!!! Watt wanahitaji ulinzi imara sana,, sasa mzazi anampeleka mwanae Private skul akidhani kule kuna elimu bora na ulinzi imara kumbe nako kuna vitu vya ajabu sana,,,Hakika Mungu ni mwema aisee!!

Japo kapicha ka huyo mwenye trak hakaonekan [emoji23][emoji23]
 
FB_IMG_1532317765285.jpg
 
Sio kila EX Wako anayeomba mrudiane anamaanisha, wengine huomba kurudi Ili wakutesti tu jinsi ulivyo dhahifu, Jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna misimamo wala future. Mtu mmeachana miezi 6 iliyopita, leo anakutesti mrudiane, na wewe ulivyo mvivu wa kifikiri, upo upo tu, alafu unajikuta tena ukimpa fursa nyengine ya kuendelea kukuchezea. Ina maana miezi yote hiyo ulikuwa umeganda unasubiria mrudiane na yeye? Kurudia matapishi ya EX ukitegemea amebadilika ni sawa na kupika sufuria la makande kwa mshumaa, utaambulia masizi tu. Kipi kipya kakiona kwako hadi arudi tena? Nini kilimshinda huko nyuma ambacho leo anakiweza anataka kurudi? Shtuka mtu wangu usije ukawa kipezeo au jamvi la wageni. KUWA NA MSIMAMO ukisema Its Over umaanishe, Sio unakuwa na hisia zinazopepea kama bendera ya katibu kata wa kishumundu. Mtu kama hakukuelewa tangu mwanzo achana nae, siku akijirudisha mwambie haupo kwaajiri ya majaribio ya kisayansj Usiendelee kutoa sifa mbaya kwenye napenzi etu "siku hizi hakuna mapenzi ya dhati" wakati wewe ndio hukuwa makini juu ya mapenzi yako. Huwezi kusoma degree ya law aalafu U-Apply kazi ya Chief Accountant wa bodi ya tumbak. Kila siku utasingizia balance sheet haina jurisprudence. Lawyersl Mmenielewa. Acha kudate watu wasiojielewa, Usidate kwa sababu uko Lonely, usiwe desperate kuingia mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa Kunduchi Beach. Ingia kwenye mahusiano pale moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na veins, auricles, na aorta za oyo Wako kwamba He/She Is Really The One. Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui, ukimuuliza anataka Kuwa aapi ndani ya miaka 5 Ijayo anakwambia Mungu anajua dont Worry, halafu BBM na Instagram unajiita Baby ake mie Iam in Love. Kuwa makini utaishia kutumika na kufua Boxer hadi.......... Date The Right Person,With Right Reasons, In A Right Time Uone Kama Mapenzi Hayapo Chukua hiyo then fanyia kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Neno hili,,, niongezee hapo,, "Kumrudia Ex wako ni sawa na kwenda Cinema Hall kutzama Movie ulikwisha Kuitzama""
Hakuna Jipya!!!
 
Yeremia 29:11-12

Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.

Wafilipi 4:6-7

Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
7 Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.

2 Wathesalonike 3:16

Sasa, Bwana wa amani mwenyewe na awape amani daima kwa njia zote. Bwana awe pamoja nanyi nyote.

NAWATAKIA JUMATATU NJEMA[emoji113][emoji120]
 
Amen
Yeremia 29:11-12

Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.

Wafilipi 4:6-7

Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
7 Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.

2 Wathesalonike 3:16

Sasa, Bwana wa amani mwenyewe na awape amani daima kwa njia zote. Bwana awe pamoja nanyi nyote.

NAWATAKIA JUMATATU NJEMA[emoji113][emoji120]
 
Jana saa nane mchana, tukio la ajabu imetokea shule ya msingi Emaco mjini Geita. Mwanafunzi mmoja pichani (Traki nyeusi) amewawekea wenzake sumu kwenye chakula. Mtoto wa darasa la nne (Traki bluu) alishuhudia tukio na kutoa taarifa kwa mwalimu. Baada ya mahojiano mafupi na huyo dogo aliyeweka sumu akasema kuwa kapewa na dada mmoja ili awaue wanafunzi wenzake wanaomsumbua shuleni. Mungu amenusuru kwa kuwa chakula kilikuwa hakijafika kwa walengwa, mtoto amefukuzwa shule na hatua zingine zinafuata.
Mchawi mtarajiwa, hana sifa kwenye jamii, hafai. Viongozi wa dini wamchukue kumpa mahubiri namna sahihi ya kuishi hapa Duniani
 
Dah!!! Watt wanahitaji ulinzi imara sana,, sasa mzazi anampeleka mwanae Private skul akidhani kule kuna elimu bora na ulinzi imara kumbe nako kuna vitu vya ajabu sana,,,Hakika Mungu ni mwema aisee!!

Japo kapicha ka huyo mwenye trak hakaonekan [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]zipo ila sijazivuta toka insta sababu wote watoto nawaonea huruma
 
Yeremia 29:11-12

Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.

Wafilipi 4:6-7

Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
7 Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.

2 Wathesalonike 3:16

Sasa, Bwana wa amani mwenyewe na awape amani daima kwa njia zote. Bwana awe pamoja nanyi nyote.

NAWATAKIA JUMATATU NJEMA[emoji113][emoji120]
Salaam Pyaar
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Neno hili,,, niongezee hapo,, "Kumrudia Ex wako ni sawa na kwenda Cinema Hall kutzama Movie ulikwisha Kuitzama""
Hakuna Jipya!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Naomba nikazie...Wengi wanarudi kusuuza rungu tuuuu, ama kule kwingine kunawaka [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom