Ndo anakuwaga na magazeti ya design hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uji bana aaah hakuna utamu wake
NdyoAah kumbe
[emoji23][emoji23][emoji23]kwema mkuu?Naam
Kweli tena, baada ya hapo Ninge zinakuwa nyingiii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hii kitu ya kurudi rudi mbaya sana,, unaweza rudi akabeba na visivyo bebeka wakati mwanzo ulivikwepa