Hahaha.. usijali mkuu haujafutwa kabisa Anza mdogo mdogo page by page utafurahi naroho yako haha..thou mengine yanasikitisha sanaHalafu umefungwa wakati ndo mi nimeanza kunogewa. Mods shwaini kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtoto mkali sana mkuu