Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Homeboy!!!
Mambo niaje aisee
Homeboy!!!
Hahaha sana mkuu!!ana mikwaraa...
ila kwa Putin masikio yako chini kama sungura....Hahaha sana mkuu!!
Hahahha kule hawezi kugusa aisee,, atajizungusha kote lkn kwa Putin haweziila kwa Putin masikio yako chini kama sungura....
Mtoto mkali sana mkuu
Kazi gani mkuu?Yea Chief, mwenyewe namkubali sana, Kazi zake pia si kitoto.