capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Mbona wa kawaida tu, kama vipi mlete mitaa hii mkuu apate likes[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Dah! Unanitisha Chief!!
Mbona wa kawaida tu, kama vipi mlete mitaa hii mkuu apate likes[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yeap bro!! Kikubwa ni uzima tu,, mambo mengine haya ni kupambana tu
Mchana mwema Chief!!
Thanks bro!! one loveUmesema vyema Bro, wacha tupambane.
Nashukuru Chief, nakutakia mchana mwema pia.
Hahahahahaha, [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kivipi mkuu, [emoji3] [emoji3] demu mkali lakini asilete mbwembwe, maana asikudanvanye mtu, mkate hata uwe mkubwa kiasi gani, kiboko yake ni chai ya moto. naamini chai unayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Dah! Unanitisha Chief!!
![]()
Itabidi uwe rafiki yangu, tubadilishane vitu flan![]()
Salaam consuela14:34
John, kipenzi cha watu wa zamani huko kwao