mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yule Rais wa ufilipino siku akifa aisee atapata tabu sana kamwita sir God mpumbavu sijui anajua ataishi mileleHata mafriimasonsi wanakufa tu. Kifo hakichagui aisee...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 816700
Akina Putin weshakanyaga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Huyo naamini ana matatizo ya akili. Matendo yake tu yanaonyesha hivyo. Mungu Amsamehe tu kwa sababu hakuna namna !!!Yule Rais wa ufilipino siku akifa aisee atapata tabu sana kamwita sir God mpumbavu sijui anajua ataishi milele
SalaamSalaam consuela
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]NUKUU YA LEO:
*Siyo kila unayemuona anajiongelesha peke yake barabarani ni CHIZI... hapana wengine ni mashabiki wa Yanga*