mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfungulie na IG
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfungulie na IG
Hata sijui kama ni kweliKweli?
Yaani sijui aliwaza nini walahi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli[emoji120][emoji120][emoji120]kikubwa uhaiBora uzima tu mengine yatajipanga
Kuna siku nilikutana naye!Wizard sana yule
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]*Unamtandika mtoto konzi ya maana, anaanza kulia kwa sauti unanunua biskuti unampatia, alaf unamuuliza, ni nani amekupiga, anamtaja mtu mwingine tofauti na wewe...hivyo ndo rushwa ilianza Africa*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha*Kumbukumbu ya kusikitisha!!!!*
*Tarehe kama ya leo miaka mitano iliyopita muuza karanga alikimbia na chenji yangu*[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Nimeiona CNN!Trump aionya Iran 'isiijaribu Marekani', ajibizana na Hassan Rouhani
Heee hadi weweee in jirani's voice hahahahahPipi
Hahahaha
Hapo lazima uchoke aisee.*Kuna Maumivu Mengine Hayaelezeki. Unamtumia msg mtu unayempenda '' i love you '' alafu anajibu "Ok''.*