Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Tunahitaji Yanga imara ambayo inaweza kushindana na Simba. Tunahitaji Yanga imara kwa ajili ya timu bora ya Taifa Stars. Ninawaombea Yanga waweze kupita katika kipindi hiki kigumu kwao, wanapaswa watulie na waungane upya"

-Mohammed Dewji Mo
Kwa kweli ni jambo jema YANGA wakaimarika, ili watakapochezea bao tano tano mfululizo toka kwa SIMBA wasipate sababu za kujitetea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Oundota ninkolaki?
Acha maswali mengi ticha. We furahia tu umeotwa. Unafikiri ni walimu wangapi hapa duniani huotwa na wanafunzi wao kimahaba? [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…