[emoji117]NYOTA wa Kombe la Dunia ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya PSG ya Ufaransa pia, Kylian Mbappe, aliwahi kukataliwa kuchezea timu ya Cameroon ambapo baba yake alitakiwa kutoa malipo ya fedha ambayo alishindwa kuipata. Lakini, Ufaransa, nchi ambayo alizaliwa, ilimchukua na kumwingiza katika ulimwengu mkubwa zaidi wa soka Bure !
[emoji117]Wilfried Mbappe, baba yake nyota huyo aliwahi kuviambia vyombo vya habari kwamba: “Nilitaka mwanangu achezee timu ya taifa ya Cameroon lakini shirikisho la soka likaniambia nitoe fedha kiasi fulani ambayo sikuwa nayo lakini Ufaransa haikunitaka nitoe wala senti moja.”
[emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji16][emoji3]