Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pesa sio makalio kwamba kila mtu anayo......tujifunze kuheshimu watu wenye pesa..zile kelele za nyakati zile za watu fulani dhidi ya Manji..wakimpinga sana...wengine wakasema "Atuachie Yanga yetu"... Leo ndo muda wao wa kuichukua Yanga yao, wakalipe Kambi, wawalipe akina Yondan na Kessy, washushe akina Kagere wao pale Jabgwani...Yaani Manji hayupo na hakuna atakayewakataza...yuko wapi yule Mzee? Yuko wapi yule kijana machachari?...iliwahi kutokea pale Tanga..watu walimwambia Nassor Binslum awaachie timu yako..wakaishia kushuka na kupoteza dira...Simba iko Uturuki na kuna watu hawamtaki Mo..waambie wamsajili mchezaji mmoja tu kwa shilingi milioni kumi...baada ya dakika tano ukiwapigia simu utasikia 'Namba unayopiga haipatikani'...Pesa sio makalio kwamba kila mtu anayo...nadhani baada ya Yale yanayotokea Jangwani tutaanza kuheshimu wenye pesa...huu sio mpira wa nyakati za Ujamaa...kwamba unamnunua Makumbi Juma kwa kumpa feni ya ukutani...tuheshimu wenye pesa!!! Asanteni
 
FB_IMG_1532378134925.jpg
anafaa kufundisha somo gani huyu mwl
 
Back
Top Bottom