Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1532353192489.jpg
 
Nilikuwa nakulaumu. Ulimleta Kasmart wako humu halafu ukamtelekeza. Keshaharibika vibaya. Anawaza kukoroga uji 24/7...Huwezi kukwepa lawama. We mwenyewe ulikuwa haupo lakini umeibuka na ishu ya uji tu. Dah !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uji ni pati endi paseli ya maisha yetu brathee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijamtelekeza kasmart wangu bwana bro nilikuwa ushaghoo alafu network inasumbua
 
Back
Top Bottom