Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23], mahali yenyewe labda wazazi watampangia laki 1[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaa hata kama ndo kuchokwa "mchukue tu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku ya Alhamisi tarehe 12 Julai , Runinga ya Citizen nchini Kenya ilizindua orodha yake ya watangazi wa habari wa lugha za Kiswahili pamoja na Kiingereza, miongoni mwao wakiwa wanandoa maarufu Lulu Hassan na mumewe Rashid Abdalla.
 
Timu mpya ya Nipashe inashirikisha mtangazaji maarufu na wa mda mrefu Swaleh Mdoe, Jamila Mohammed ambaye pia amejiunga na Citizen kutoka NTV, Mwanahamisi Hamadi, Nimrod Taabu pia kutoka NTV, Mashirima Kapombe kutoka runinga ya KTN pamoja na wanandoa hao maarufu Rashid and Lulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…