mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahaUsiombe vitu vibaya, omba vitu vizuri mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahhahaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]"Ukitaka vizuri sharti udhurike" ubahili mtupu ukitunukiwa unamwaga mauno kama paka chongo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Amina"ALHAMDULILLAH"
ChibukuWakuu hicho kwenye mchupa ni kinywaji gani?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nipo mkuuTupo uko wapi?
11:12Hivi sasa ni saa 02:12 siku ya jumanne
Tupo mkuuAsee siwaoni?
Mkuu amepotea sana hata kwenye Uzi wetu wa Liverpool simuoni kabisaWapi HARUFU
Hahahaha kwa nini mkuuKuna watu akili zenu zishakuwa kama za Sigmund Freud [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nipo mkuuWapi mzee wa liverpool
Aswaaaaa umepatia kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Elimu ya Viumbe hasa topiki za Mfumo wa Uzazi na Magonjwa yake ya Kuambukiza (Gono, UKIMWI...)
Aisee sikujua hilo la upande wa piliKwenye Qurani pia amesomeka, alikuwa ni kuwadi wa wapenda ndogo za wanaume wenzao...
Hahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] huenda ni jiwe hiliView attachment 817010
Morning ledadaSafi moud za asubuhi?
AminaMungu atupe afya na uzima
Baridi yabisi huku kwetusiku imeanza na manyunyu kwetu
Indeedfikra mpya na mipango mipya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wasukuma jamani