Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Maji mengi. Huumizi ini na kesho hakuna hangover. That's hau wi du iti [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kosa hapo...Mwenye kosa nani?
Good idea hasa ukiwa nao wengi [emoji16][emoji16][emoji16]Siku nikipata elaView attachment 817296
[emoji23][emoji23][emoji23], sawa bwana.Hakuna kosa hapo...
[emoji23][emoji23][emoji23],
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23], yeye analo? ana kwake?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona picha yangu wameamua kuitumia kwenye memes zao smh [emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo Janja and his cougar?
Mkuu Demokrasi nayo ina changamoto zake, maana kutawaliwa na mtu mmoja kwa miaka na miaka ni tatizo. Jamaa alikuwa kiongozi mzuri, tena wa mfano barani Afrika, lakini kitendo chake cha kuhodhi madaraka kwa miaka 40 ilikuwa lazima kimgharimu binafsi na pia kuligharimu taifa lake.Huenda sina uelewa wa mambo hayo, hivyo mnisamehee kwa kuyajibu mahali pasipohusika