Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Never
IMG-20171214-WA0007.jpg
 
Mkuu Demokrasi nayo ina changamoto zake, maana kutawaliwa na mtu mmoja kwa miaka na miaka ni tatizo. Jamaa alikuwa kiongozi mzuri, tena wa mfano barani Afrika, lakini kitendo chake cha kuhodhi madaraka kwa miaka 40 ilikuwa lazima kimgharimu binafsi na pia kuligharimu taifa lake.Huenda sina uelewa wa mambo hayo, hivyo mnisamehee kwa kuyajibu mahali pasipohusika
[emoji818][emoji818]
 
Nipo ndugu yangu,
Nakumiss kweliweli, nasema Ngimbambe, Ngimbambeeee Jakitoo.
This time tuko bega kwa bega na mkono kwa mkono mpaka mtachoka!🙂🙂🙂
Ngimbambe ni nini malcom[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
It is well and Good [emoji4] [emoji4] [emoji4] ila hatutochoka bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .....Ila wewe
 
Back
Top Bottom