Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
[emoji818][emoji818]Mkuu Demokrasi nayo ina changamoto zake, maana kutawaliwa na mtu mmoja kwa miaka na miaka ni tatizo. Jamaa alikuwa kiongozi mzuri, tena wa mfano barani Afrika, lakini kitendo chake cha kuhodhi madaraka kwa miaka 40 ilikuwa lazima kimgharimu binafsi na pia kuligharimu taifa lake.Huenda sina uelewa wa mambo hayo, hivyo mnisamehee kwa kuyajibu mahali pasipohusika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], njoo uichukue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona picha yangu wameamua kuitumia kwenye memes zao smh [emoji23][emoji23][emoji23]
Anasoma au amejifunika???
Ngimbambe ni nini malcom[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo ndugu yangu,
Nakumiss kweliweli, nasema Ngimbambe, Ngimbambeeee Jakitoo.
This time tuko bega kwa bega na mkono kwa mkono mpaka mtachoka!🙂🙂🙂
Hakika[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]You can never go wrong with Jesus [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
ItakuwaSiyo Kizulu kweli?