Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Aisee, kwanini?Haya matunda yameshanishinda....Siyawezi kabisa.
Mimi nayapenda sana basi tuu huwa hayapatikani sana.
Aisee, kwanini?Haya matunda yameshanishinda....Siyawezi kabisa.
Unanitia majaribuni shem...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi hapo upako umeisha maana ushalisema kimya kimya(akilini)hilo ulilotaka kulisema,liseme tu tusikie[emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanitia majaribuni shem...
Nakukemea ...shandabaraaaaaa shakararaaaa darskaba wallahi mane lavusi mi ....[emoji16][emoji16][emoji16]
Pliiiiiiiiizi ndelea na upako ..Usiuondoe.Hapo penye mnato hapo...
Nina kaupako pako leo ngoja nimyuti tu...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Hakuna upako uliowahi kudumu humu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Pliiiiiiiiizi ndelea na upako ..Usiuondoe.