Yaani acha tu, mie huku nilipo yapo bweleleeee!Aisee, kwanini?
Mimi nayapenda sana basi tuu huwa hayapatikani sana.
Leo tujitahidi udumu kwakweli.Hakuna upako uliowahi kudumu humu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wangu utadumu [emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna upako uliowahi kudumu humu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]