Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mange Kimambi -Tanzania

Mwanamitindo Mtanzania aliyebadilika kuwa mwanaharakati wa kisiasa Mange Kimambi amekuwa aliyepanga maandamano ya kushutumu utawala wa Rais wa Tanzania John Magufuli yaliyokuwa yamepangiwa kufanyika Aprili 26.
 
Diane Shima Rwigara -Rwanda

Diane Shima Rwigara ni mwanamke mfanyabiashara nchini Rwanda na mwanaharakati aliyetaka kuwania urais kama mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2017 ambao Rais Paul Kagame alitangazwa mshindi. Alikamatwa pamoja na mamake na dadake na kushtakiwa kwa makosa ya udanganyifu na uchochezi tuhuma ambazo wameziita zenye kuchochewa na kisiasa. Wamekuwa kizuizini na kesi dhidi yao ilianza rasmi wiki hii.
 
Mbali Ntuli -Afrika Kusini
Mbali Ntuli mwenye miaka 30 ni mwanasiasa wa chama cha Democratic Alliance anayehudumu katika bunge la jimbo la KwaZulu-Natal. Alikuwa kiongozi wa vuguvugu la vijana wa Democratic Alliance Youth.
 
Mange Kimambi amesema nini?
Mwanaharakati huyo mwenyewe aliuchukua ujumbe huo na kuuweka kwenye ukurasa wake wa Instagram, kwake akionekana kuwahurumia Beffta.

"Nahisi hawa @Beffta_award wamejuta kabisa kuniweka kwenye hiyo category sidhani kama washawahi kupata comments zote hizo . Watanzania kiboko kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23]... Thanks for the luv nawapenda sana!!!"

Ujumbe huo wake umetolewa maoni zaidi ya 10,000.
 
Upako anda ataki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
View attachment 819684
Nilisema mimi[emoji124][emoji124][emoji124]tuendelee tu na mambo mengine[emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1532621640376.jpeg
 
Back
Top Bottom