Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chipukizi wa Milan, Franck Kessie mwenye miaka 21, alikosa penalti yake ya mwisho.

Kipa wa Ureno, Joel Pereira aliyechukua nafasi ya David de Gea na Sergio Romero waliokuwa mapumziko, aliokoa penalti ya Fabio Borini na Suso kabla ya kuifungia United penalti ya tano ni wazi kiwango chake kinaweza kumvutia kocha wake Jose Mourinho na kujihakikishia namba.
 
5. H
6. N
7. H
8. N
9. N
10. N
 
Kipa aliyeidakia Cheslea msimu wa 2013-2015, Mark Schwarzer raia wa Australia, amemuonya winga chipukizi wa nchi hiyo Daniel Arzani, kuachana na mpango wa kujiunga na Manchester City.

Schwarzer aliyewahi kuzichezea pia Fulham na Leicester City za Ligi Kuu England, alisema kinda huyo mwenye miaka 19, anayeichezea Melbourne City ya Ligi Kuu Australia, hatamudu kupigania namba mbele ya mastaa waliopo City.
 
11. N
12. N
13. N
14. NDIYO
15. H
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…