Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pale posta mpya Dar kungekuwa na Mlima Everest. Kuna vitu vikali pale mpaka basi watu kutumbukia mitaroni na kujibamiza kwenye nguzo ni jambo la kawaida tu.
IMG-20180726-WA0062.jpg
 
Last edited:
Mke: Mme wangu naomba 5000/= Nikanunue nyama.

Mme: Akamuita mke wake twende huku chumbani, wakaongozana hadi chumbani kwenye Kioo akaonyesha ile 5000/= kwenye kioo na kumuambia mke umeona ile 5000/= kwenye kioo?.

Mke: Ndio nimeiona mme wangu.

Mme: Basi ile ndo yako kaichukue hii niliyo ishika yangu. Mme karudi jioni home kakuta misosi kibao, Nyama rost, nyama choma.

Mme: haha safi sana mke wangu ndo maana nakupenda sana, umepata wapi nyama zote hizo?.

Mke: Twende chumbani mme wangu, Kufika chumbani kwenye kioo mke akavua Nguo zote halafu akamuonyesha "K" kwenye kioo mme wake, Akamwambia mme wangu umeiona ile "K" ya kwenye kioo.

Mme: Ndiyo nimeona mke wangu.

Mke: Basi ile "K" ya kwenye kioo ndio yako ila hii ya huku chini niya muuza nyama Buchani---Mme kazimiaa.

--wanawake wengine hawapendagi ujinga--

#KingJohnTz
#mwambaWakusini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], U gimme shit I gve u shit[emoji23][emoji23]
 
Baada ya mwanamuziki Diamond Platnumz kualika watu takribani 50 kuuhudhuria sherehe ya kuzaliwa mtoto wake Tiffah, mzazi mwenzake, Zari Hassan amepiga marufuku ugeni huo. Awali Diamond aliahidi kuwalipia tiketi watu 30 kwaajili ya kuhudhuria sherehe hizo lakini baadaye aliongeza kuwa atawalipia watoto 10 pamoja na wazazi wao ili nao wahudhurie sherehe hizo. Katika kunogesha sherehe hizo, jana wakati wa sherehe ya kufikisha siku 40 ya mtoto wa mtangazaji Zamaradi Mketema, mwanamuziki huyo alialika wanakamati zaidi ya 10 kuhudhuria sherehe hiyo. Hata hivyo, Zari katika mtandao wa Instagram aliandika kuwa hautaki ugeni huo akihofia kuchafuliwa nyumba yake: “Sitaki kunichafulia nyumba kaeni hukohuko.” Miongoni mwa wanakamati walioalikwa ni Wema Sepetu ambaye amewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Diamond Platnumz na mwigizaji Aunty Ezekiel. Tiffah ambaye jina lake halisi Latiffah alizaliwa Agosti 6, 2015. Hata hivyo sherehe za kuzaliwa binti huyo zitafanyika siku tatu mfululizo kuanzia Agosti 17- 19 mwaka huu.
Ubuyu wa moto
 
Back
Top Bottom