Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Numbisa nikutag?
Pyaar je?
Mimi nakiri. Nilishapigiapo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 819998
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mie ndo wala sinaga mzuka na kupiga picha kwenye maeneo kama hayo....Kuna kipindi fulani nilikuwa nikipata mitaa hiyo basi utakuta watu wamejazana, mtu anatoka Kigeleshi, Kisesa, Magu,Kwimba, Ngudu, Mwamashimba huko kuja kufotolewa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]..Wale wale.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mwenzetu we umeendelea...

No...Siyo mshamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Kweli?

Kuna kipindi ulikuwa na huruma kweli kweli. Haya bana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jamaniii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mbona bado nina huruma?shida ukuta brathee[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…