[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, nachezea 48yrs sasa...Trust me.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu Pyaar, umekula si habaUmekula chumvi nyingi kidogo japo sio sana
karibuOoh!asante kwa kunijuza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu Pyaar, umekula si haba
Sawa, nashukuru kwa taarifa mkuu, maana siku chache hizi napitwa na taarifa muhimuLeo Ijumaa Julai 27, 2018, linatarajiwa tukio la kupatwa kwa mwezi.
Wakati wa tukio hilo, nuru ya mwezi mkamilifu (full moon) itazuiwa na Dunia hivyo mwezi kuonekana kuwa na rangi nyekundu kwa saa kadhaa kuanzia saa 4:30 usiku hadi saa 6:14 usiku.
Tukio la kupatwa kwa mwezi linatarajiwa kuonekana vizuri katika maeneo mengi ya bara la Afrika, Asia na Ulaya.
Hapa nchini Tanzania tukio hilo linatarajiwa kuonekana katika maeneo mengi na linatarajiwa kudumu kwa takribani saa mbili.
Kupatwa kwa Mwezi hutokea wakati Dunia, Mwezi na Jua vinapokuwa kwenye mstari mmoja.
Hali hiyo inapotokea mwanga wa jua unaofika katika uso wa mwezi huzuiwa na duara la Dunia.
Katika mpangilio huo nuru ya Mwezi huonekana kuwa na giza (Total Lunar Eclipse).
Hali hiyo inatarajiwa kujitokeza katika maeneo ya bara la Afrika, Asia na Ulaya usiku wa leo Ijumaa.
Boeing 747....Not the gargantuan Airbus 380...airbus!!!!
Itakuwa hivi..ok
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] kanda yetu pendwa.[emoji3] [emoji3] ziwani huko[emoji3] [emoji3]View attachment 819941kabila lake linajukalina [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Boeing 747....Not the gargantuan Airbus 380...
Acha maneno, gonga likes pata likesHii mbona hamlaiki au nimecomment lugha chafu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wataka kusemaje??[emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wapelekee ili waondoke eneo hilo[emoji3] [emoji3]Bangi acha ipigwe marufuku.
Jamaa walikuwa wamekaa jumba bovu
wanavuta bangi wakaishiwa kiberiti,
wakamtuma
mwenzao akaombe popote. Jamaa
akazungukaaaaa akatokea pale pale
akawambia, "...masela naombeni kiberiti".
Kwa kuwa jamaa nao walikuwa
wamekolea
wakamjibu,
"..tumemtuma mshikaji, kaa hapa
tumsubiri". Jamaa
nae akakaa kusubiri kiberiti.
Walisubiri, wakasubiri, wakasubiri.
Wakasubiriiiii, mpaka sasa hivi
nimewaaacha wanasubiri
.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Subiri carbamazepine akiiona hii. Lile kabila pendwa watakoma [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha weee, kazi ya Bora Shoes miaka ya 70-80' huko
Uhengani hiyo[emoji3] [emoji3] [emoji3]