moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ushakuwa muhenga[emoji3] [emoji3] [emoji3] nielezee matukio unayokumbuka angalau kwa uchache wakati wa ile vita ya 1978-79. Najua ulikuwa primary wakati huo. Hali ilikuwaje huko kanda pendwa ukiwa na miaka yako 10 wakati huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sana
Last edited: