Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahahaha! Hiyo haipingiki.....ASANTE SANA [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23]tabhani nawe acha uzubaifu, yaani vindege vinajilengesha vyenyewe tunduni unaanza kuzunguka kama waderive formula za mathematics.....Shwainii kabisa.
Hahahahhaha! Wewe endelea kuzunguka na hizo integration zako utajikuta unaangukia kwenye kutengeneza Conc.Suphuric acid...Taratibu dadake, tunaanza na differential equation kwanza, halafu tuna integrate! Kutoka hapo ndio tunaibukia kwenye na double/triple integral, ma lower/upper limits ya kumwaga hapo! Kama tutakuwa tuna approach infinite nako sawa sawa tu! Hivi vindege lazima vinase tu, hakuna namna! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shhhhhhhh !!!
View attachment 820581