Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]tabhani nawe acha uzubaifu, yaani vindege vinajilengesha vyenyewe tunduni unaanza kuzunguka kama waderive formula za mathematics.....Shwainii kabisa.

Taratibu dadake, tunaanza na differential equation kwanza, halafu tuna integrate! Kutoka hapo ndio tunaibukia kwenye na double/triple integral, ma lower/upper limits ya kumwaga hapo! Kama tutakuwa tuna approach infinite nako sawa sawa tu! Hivi vindege lazima vinase tu, hakuna namna! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Hahahahhaha! Wewe endelea kuzunguka na hizo integration zako utajikuta unaangukia kwenye kutengeneza Conc.Suphuric acid...

Mbele nyenjela akalamugasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…