Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sidhani..Huku amekuja tu kumwaga hisia baada ya kupewa malavidavi huko mtaa wa 7Halafu mambo ya humu yalivyo unaweza kuta hata huyu anayewekewa madedikesheni haya yumo humu humu anachekelea tu. Inaweza hata ikawa ni wewe au poti. Whu nouzi? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️