Nani atakayeuona vizuri zaidi?
Eneo zuri la kulitazama tukio hilo ni eneo nusu ya Mashariki mwa Afrika ,Mashariki ya kati na katikati mwa bara Asia.
Tukio hilo halitaonekana katika maeneo ya kati na Marekani Kaskazini.
Kusini mwa Marekani , unaweza kuonekana kiasi katika maeneo ya mashariki hususan miji ya Buenos Aires, Montevideo, Sao Paulo na Rio de Janeiro