Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1532437809421~2.jpeg
 
Waliozitumia na wakapata saratani inakuwaje? Wanalipwa au ndo imetoka hiyo?

Niliwahi kwenda nchi fulani na Metacafin (spell) ili nikiwa na malaria nizimeze kisiri siri kwa sababu huko hakuna malaria. Nilishangaa nilipoambiwa kuwa metacafin zilikuwa zimeshapigwa marufuku huko kwq sababu zinasababisha matatizo makubwa ya ubongo. Nilishangaa sana !!!
Nimejiuliza swali kama lako.

Huu ulimwengu wa dawa na vipodozi una hatari sana.
 
Back
Top Bottom