Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KAMA mipango itaenda ilivyopangwa basi Watanzania wajiandae tu kumshuhudia nyota wao wa kimataifa, Mbwana Samatta, akipimana ubavu na akina Sergio Ramos, Godin Diego na mabeki wengine wa kazi katika Ligi Kuu ya Hispania, La Liga.

Samatta anayekipiga Genk ya Ubeligiji, yupo mbioni kutua katika ligi hiyo iliyokimbiwa na Cristiano Ronaldo aliyeibukia Juventus ya Italia akitokea Real Madrid, anatakiwa na Levante UD itakayofungua msimu na Betis.
Wishing him the best!!
 
Siku moja baada ya Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) kueleza kuwa imeanza kuziondoa dawa za kutibu shinikizo la juu la damu (presha) aina ya Dyanaval zilizobainika kusababisha saratani, Bohari Kuu ya Dawa (MSD) imesema haihusiki na uingizaji au usambazaji wa dawa hizo.

Juzi, TFDA ilisema imeanza kuziondoa sokoni dawa hizo na shughuli hiyo ilianza Ijumaa ya wiki iliyopita na itafanyika ndani ya siku 14.

Akizungumza na Mwananchi jana, Msemaji wa MSD, Etty Kusiluka alisema dawa ya kutibu presha ambayo wamekuwa wakiiagiza ni Valsartan ambayo huagizwa nchini India na Swizerland.
Waliozitumia na wakapata saratani inakuwaje? Wanalipwa au ndo imetoka hiyo?

Niliwahi kwenda nchi fulani na Metacafin (spell) ili nikiwa na malaria nizimeze kisiri siri kwa sababu huko hakuna malaria. Nilishangaa nilipoambiwa kuwa metacafin zilikuwa zimeshapigwa marufuku huko kwq sababu zinasababisha matatizo makubwa ya ubongo. Nilishangaa sana !!!
 
Ndo imetoka hio,binadamu sie sio kabisa
Waliozitumia na wakapata saratani inakuwaje? Wanalipwa au ndo imetoka hiyo?

Niliwahi kwenda nchi fulani na Metacafin (spell) ili nikiwa na malaria nizimeze kisiri siri kwa sababu huko hakuna malaria. Nilishangaa nilipoambiwa kuwa metacafin zilikuwa zimeshapigwa marufuku huko kwq sababu zinasababisha matatizo makubwa ya ubongo. Nilishangaa sana !!!
 
Yegomasika...nenda ukaniletee kasichana kanakokoroma kakilala?

Vinyambulishi vya njeo na yambwa vimegoma au nimepiga nje kabisa hata kimaaana?
Hongera, umejitahidi..
Yegomasika, na mie nahitaji uniletee ka wifi kanakokoroma kakilala....
Ref.wife material ....(Ako akang'orota= Kanokokoroma)
 
Wababe hao wa Merseyside wametumia kiasi cha Pauni 170 milioni kwa mastaa wanne, Naby Keta kutoka RB Leipzig, Fabinho kutoka Monaco, Xherdan Shaqiri kutoka Stoke City na kipa wa kimataifa wa Brazil, Alisson ambaye wamemnunua kwa dau la Pauni 67 milioni kutoka Roma na kuvunja rekodi ya uhamisho kwa makipa duniani.
 
Kwa jumla Liverpool imetumia kiasi cha Pauni 250 milioni tangu Januari baada ya kumnunua mlinzi mahiri wa kimataifa wa Uholanzi, Virgil van Dijik dirisha la Januari kwa dau la Pauni 75 milioni akitokea Southampton na kuvunja rekodi ya dunia ya uhamisho kwa upande wa walinzi.
 
Back
Top Bottom