Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wakati huo matangazo hayo ambayo yalipigiwa kelele na wengi yalikuwa yakichukua dakika moja hadi tatu jambo ambalo lilikuwa ni kikwazo kwa watumiaji ambao walihitaji huduma ya mawasiliano kwa haraka.
Tabia hiyo ya kampuni za simu ilikuwa kero na wengi waliipongeza Serikali baada ya kuipiga marufuku kwani simu zilikuwa zikitumika kama jukwaa la matangazo bila malipo.
Tabia hiyo ya kampuni za simu ilikuwa kero na wengi waliipongeza Serikali baada ya kuipiga marufuku kwani simu zilikuwa zikitumika kama jukwaa la matangazo bila malipo.